# Angalieni msiwe na wasiwasi. "Msije mkaruhusu mambo haya kuwapa wasiwasi." # kwa kuwa taifa litainuka juu ya taifa jingine, na ufalme dhidi ya ufalme Hii inamaanisha kitu kilekile. na msisitizo wake ni kwamba kutakuwa na mapigano kila mahali # ni mwanzo tu wa uchungu Hii inamaanisha maumivu mwanamke huyapata wakati anapotaka kujifungua mtoto. Sitiari hii inamaanisha kuwa haya matetemeko, njaa na vita ni mwanzo tu wa matukio yatakayotuongoza kuelekea mwisho wa dunia