forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
870 B
Markdown
28 lines
870 B
Markdown
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Yesu ananukuu toka Zaburi kuonesha kuwa Kristo ni zaidi ya "mwana wa Daudi"
|
|
|
|
# Ni kwa namna gani Daudi katika Roho anamwita Bwana
|
|
|
|
"Yesu anatumia swali kuwafanya viongozi wa dini kufikiri kwa undani zaidi juu ya Zaburi anyotaka kuinukuu "Niambieni kwa nini Daudi katika Roho anamwita Bwana"
|
|
|
|
# Daudi katika Roho
|
|
|
|
"Daudi ambaye anavuviwa na Roho. "Hii inamaanisha kuwa Roho Mtakatifu anamwezesha Daudi kusema.
|
|
|
|
# anamwita
|
|
|
|
Hapa "mwi" inasimama badala ya Kristo, ambaye pia ni kizazi cha Daudi.
|
|
|
|
# Bwana alimwambia
|
|
|
|
Neno "Bwana" inamaanisha Mungu Baba
|
|
|
|
# Katika mkono wangu wa kuume,
|
|
|
|
Kiwakilishi "wangu" kinamaanisha Mungu Baba. "Mkono wa kuume" huwa inatumika kuonesha sehemu ya heshima
|
|
|
|
# Hadi nitakapowaweka maadui zako wawekwe chini ya miguu yako
|
|
|
|
Hii ni nahau. "hadi nitakapowashinda adui zako" au hadi nitakapowafanya maadui zako kukuinamia"
|