forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
401 B
Markdown
12 lines
401 B
Markdown
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Yesu ananukuu ile amri kuu kutoka Kumbukumbu la torati
|
|
|
|
# kwa moyo wako wote, na kwa akili zako zote. na kwa roho yako yote.
|
|
|
|
Virai vyote vitatu vinamaanisha kitu kilekile. Vinamaanisha kuwa mtu lazima ampende Mungu kwa pendo la ndani na kwa kujito kwa ukweli.
|
|
|
|
# .kuu na ya kwanza
|
|
|
|
Neno "kuu" na ya "kwanza" yanamaanisha kitu kilekile. vinasisitiza kuwa hii ni amri ya muhimu
|