# Maelezo kwa ujumla Yesu ananukuu ile amri kuu kutoka Kumbukumbu la torati # kwa moyo wako wote, na kwa akili zako zote. na kwa roho yako yote. Virai vyote vitatu vinamaanisha kitu kilekile. Vinamaanisha kuwa mtu lazima ampende Mungu kwa pendo la ndani na kwa kujito kwa ukweli. # .kuu na ya kwanza Neno "kuu" na ya "kwanza" yanamaanisha kitu kilekile. vinasisitiza kuwa hii ni amri ya muhimu