sw_tn/mat/22/13.md

24 lines
440 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anahitimisha mfano wa harusi
# mfungeni mtu huyu mikono na miguu
"mfungeni kiasi kwamba hawezi kusogeza mikono na miguu"
# nje katika giza kuu
Tazama 8:11
# kilio na kusaga meno
Tazama 8:11
# Kwa kuwa watu wengi wanaitwa lakini wateule ni wachahe
"Kwa kuwa Mungu huwakaribisha watu wengi, lakini huchagua wachache"
# kwa
Neno hili linamaaisha mpito. Yesu anamaliza mfano na sasa ataeleza maana ya mfano