sw_tn/mat/22/11.md

12 lines
229 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuelezea mfano
# ulipataje kufika hapa ndani bila vazi la harusi?
"haujavaa vazi rasmi kwa ajili ya harusi. haupaswi kuwa hapa"
# mtu huyo hakujibu kitu chochote
"yule mtu alikuwa kimya"