# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuelezea mfano
# Hawakuzingatia kwa dhati.
"Lakini wale wageni walioalikwa na mfalme walipuuzia"
# akawaua wale wauaji
Inamaanisha kuwa, askari wa mafalme waliawaua wale wauaji.