# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuelezea mfano # Hawakuzingatia kwa dhati. "Lakini wale wageni walioalikwa na mfalme walipuuzia" # akawaua wale wauaji Inamaanisha kuwa, askari wa mafalme waliawaua wale wauaji.