sw_tn/mat/21/31.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Wakasema
"Makuhani wakuu na wazee walisema"
# Yesu akawaambia
Yesu aliwaambia wakuu wa makuhani na wazee"
# Kweli nawaambieni
"Nawaambia ukweli." Kirai hiki kinaongeza msisitizo wa kile ambacho Yesu atasema baadaye
# Wakusanya ushuru na makahaba wataingia kwenye ufalme wa Mungu kabla Yenu kuingia
Neno "ufalme wa Mungu" linamaanisha utawala wa Mungu kama Mfalme. "Mungu atakaposimamisha utawalawake duniani, atawabariki watoza ushuru na makahaba kwa kuwatawala kabla ya kufanya hivyo kwenu"
# kabla yenu kuingia
Yaweza 1)Yesu atawapokea watoza ushuru na makahaba kabla ya kuwapokea viongozi wa dini 2) Mungu atawapokea watoza ushuru na makahaba badala ya kuwapokea viongozi wa dini wa Kiyahudi
# Yohana alikuja kwenu
Kiwakilishi cha "ninyi" ni cha wingi na kinamaanisha watu wote wa Israel na wala si viongozi wadini tu. "Yohana alikuja kwa watu wa Israel"
# kwa njia iliyo nyoofu
Hii ni nahau inayomaanisha kuwa Yohana aliwaonesha watu njia sahihi ya maisha. "na aliwaambia njia sahihi ambayo Mungu anataka ninyi muishi"
# hamkumwamini
kiwakilishi cha"hamku.." ni cha wingi. nacho kinamaanisha viongoziwa dini.