sw_tn/mat/21/15.md

40 lines
1.3 KiB
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Katika mstari wa 16,Yesu anatumia nukuu toka Zaburi kuthibitisha jinsi watu walivyokuwa wamemwitikia
# maajabu aliyoyataenda
"vitu vya kushangaza" au "miujiza." Hii inamaanisha Yesu alivyowaponya vipofu na vilema kati ka 21:12
# Hosana
Tazama 21:9
# Mwana wa Daudi
Tazama 21:9
# walishikwa na hasira
Inamaanisha kuwa walishikwa na hasira kwa sababu hawakuamini kuwa Yesu ndiyo Kristo na hawakutaka watu wamsifu. "Walikasirika sana kwa sababu watu walikuwa wanamsifu"
# umesikia kile kinachosemwa na hawa watu?
Wakuu wa Makuhani na waandishi wanauliza swali hili kumkemea Yesu kwa sababu wanamchukia, "Usiwaruhusu watu kusema mambo haya juu yako"
# Lakini hamjawahi kusoma ... sifakamili?
Yesu anauliza swali hili kuwakumbusha wakuu wa makuhani na waandishi kile walichosoma kwenye maandiko. "Naam, nawasikia, lakini inawapasa mkumbuke mlichokisoma katika maandiko ... sifa"
# Lakini hamkusoma...sifu'?
"Ndiyo nimewasikia lakini mnatakiwa kukumbuka mlichokisoma katika maandiko matakatifu...sifu'."
# kutoka kwa midomo ya watoto na watoto wachanga mnayo sifa kamili
Kirai hiki "kutoka kwenye midomo" kinamaanisha kuongea. "uliwafanya watoto na watoto wachanga kusema sifa kamili"
# Yesu akawaacha
"Yesu aliwaacha makuhani wakuu na waandishi"