sw_tn/mat/21/04.md

32 lines
877 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Hapa mwandishi anamnukuu nabii Zecharia kuonesha kuwa Yesu anataimiza unabii kwa kumpanda mwanapunda kuelekea Yerusalemu.
# Sasa
Hili neno limetumika hapa kuonesha mwanzo wa habari mpya. Hapa Mathayo anafafanua jinsi matendo ya Yesu yanatimiza maandiko
# Jambo hili lilitokea lile lililonenwa ili kupitia kwa nabii litimizwe
Jambo hili linaweza kutafsiriwa katika mfumo tendaji. "Hili lilitokea ili Yesu atimize kile alichosema Mungu kupitia manabii tangu zamani za kale"
# kupitia kwa nabii
"kupitia kwa nabii Zekaria"
# Binti wa sayuni
Binti wa mji inamaanisha watu wa ule mji. "watu wa mji ule" au"watu waishio Sayuni"
# Sayuni
Hili ni jina jingiine la Yerusalemu
# Mwanapunda mme, mwanapunda mchanga
Neno mwanapunda na mwanapunda mchanga inamaanisha mnyama yuleyule, haimaanishi wanyama wawili tofauti
# mwanapunda
dume changa la punda