sw_tn/mat/21/01.md

16 lines
316 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya Yesu akiingia Yerusalemu. Yesu anawapa maalekezo ya kile wanachopaswa kufanya.
# Bethfage
Hikini kijiji kilichoko karibu na Yerusalemu
# mwanapunda amefungwa
"mwanapunda ambaye amefungwa na mtu"
# amefungwa pale
"amefungwa kwenye nguzo" au "amefungwa kwenye mti.