forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
916 B
Markdown
24 lines
916 B
Markdown
# Sentensi unganishi
|
|
|
|
Yesu anahitimisha mfano wake juu ya mmiliki wa shamba aliyeajili wafanya kazi
|
|
|
|
# Je! si haki kwangu kufanya kile ninachotaka juu ya mali zangu?
|
|
|
|
Yule mmiliki wa shamba anatumia swali kuwanyamazi wafanyakazi waliokuwa wakilalamika. "Ninaweza kufanya chochote ninachotakajuuya mali yangu"
|
|
|
|
# Au jicho lako ni ovu kwa sababu mimi ni mwema?
|
|
|
|
Yule mmiliki wa shanba anaatumia swali kuwanyamazisha wale wafanyakazi waliokuwa wakilalamika. "Msiwe na wivu kwa sababu ya ukarimu wangu kwa watu wengine
|
|
|
|
# Au mnaona wivu kwa sababu ya ukarimu wangu?
|
|
|
|
Yule mmiliki w a shamba anatumia swali kuwanyamazisha wafanyakazi waliokuwa wakilalamika. "Msione wivu kwa sababu ya ukarimu kwa watu wengine"
|
|
|
|
# wa mwisho atakuwa wa kwanza na kwanza atakuwa wa mwisho.
|
|
|
|
Tazama 19:29
|
|
|
|
# Hivyo wa mwisho atakuwa wa kwanza
|
|
|
|
Yesu anasema kwa kuhitimisha kwa mfano huu. "Ndipo Yesu aliposema. 'wa mwisho atakuwa wa kwanza'"
|