sw_tn/mat/20/08.md

16 lines
385 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kueleza mfano
# kwa kuanza na wa mwisho hadi wa kwanza
Waweza kuzi kuyafanya maelezo h aya yaeleweke kwa uwazi. "Kwa kuanza na wafanyakazi niliowaajiri mwishoni, kisha lipa wafanyakazi niliowaajiri kwanza"
# walioajiriwa
Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "wale aliowaajiri mwenye shamba"
# Dinari moja
"malipo kibarua ya siku moja"