# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kueleza mfano # kwa kuanza na wa mwisho hadi wa kwanza Waweza kuzi kuyafanya maelezo h aya yaeleweke kwa uwazi. "Kwa kuanza na wafanyakazi niliowaajiri mwishoni, kisha lipa wafanyakazi niliowaajiri kwanza" # walioajiriwa Hii inaweza kuelezwa katika mfumo tendaji. "wale aliowaajiri mwenye shamba" # Dinari moja "malipo kibarua ya siku moja"