sw_tn/mat/19/07.md

36 lines
705 B
Markdown

# Wakamwambia
"Mafarisayo walimwambia Yesu"
# Tuamuru
"Amuru sisi Wayahudi"
# Hati ya talaka
Waraka unaohalalisha kisheria mwisho wa ndoa
# kwa sabau ya ugumu wa mioyo yenu
kwa sababu ninyi ni wasumbufu
# kwa ugumu ... aliwaruhusu ....wake zenu
wewe na yenu ziko katika wingi. Yesu anaongea na Mafarisayo, lakini Musa aliwapa shaeria hii miaka mingi iliyopita kwa mababu zao. amri ya Musa ilitumika kwa Wayahudi wote.
# tangu mwanzo
"Wakati Mungu alipomuumba mume mke hakupanga waachane"
# nawaambieni
anaongeza msisitizo
# na kumwoa mwingine
na kumwoa mwanamke mwingine
# Na mwanaume anayemwoa mwanamke ambaye ameachwa amefanya uzinzi
Maandishi mengi ya mwanzo hayajumuishi maneno haya.