sw_tn/mat/18/intro.md

16 lines
589 B
Markdown

# Mathayo18 Maelezo ya Jumla
## Dhana maalum katika sura hii
### Je, unapaswa kufanya nini "ndugu yako akikukosea"?
Katika sura hii, Yesu anafundisha kwamba ni muhimu kwa wafuasi wake kuacha ugomvi kati yao wenyewe. Anafundisha kwamba kikundi cha waumini lazima kiwe tayari kuwezesha hii kufanyika kwa njia "inayomheshimu Mungu.
Kanisa lina jukuma pia wa kuwahimiza waumini kutubu ikiwa wanafanya dhambi. (Angalia: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/repent]] na [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])
## Links:
* __[Matthew 18:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../17/intro.md) | [>>](../19/intro.md)__