sw_tn/mat/18/32.md

16 lines
301 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwambia mfano wanafunzi wake
# Kisha bwana wa mtumishi yule akamwita
"Kisha mfalme akamwita mtumwa wa kwanza"
# ulinisihi
"uliniomba
# Je, haukutakiwa kuwa na huruma kwa mtumwa mwenzio?
Mfalme anatuma swalikumkalipia mtumwa wa kwanza. "ulitakiwa ... wewe"