sw_tn/mat/18/12.md

32 lines
557 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendele kuwatumia watoto wadogo kuwafundisha wanafunzi kueleza ulinzi wa Mungu kwa watu
# Unawaza nini?
"Fikiri watu wanavyofanya,"
# wewe ... yako
viwakilishi vya wingi
# ikiwa mtu ...wasiopotea
Yesu anatumia mfano kuwafundisha wanafunzi
# kondoo mia moja ...tisini n a tisa
100 ...99
# hatawaacha ...aliyepotea
Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi
# kweli nawaambia
nawaambia ukweli
# Siyo matakwa ya baba yenu wa mbinguni kuwa moja wa wadogo hao apotee
"Baba yenu mbinguni anataka wadogo wote hao waishi"