# Sentensi unganishi Yesu anaendele kuwatumia watoto wadogo kuwafundisha wanafunzi kueleza ulinzi wa Mungu kwa watu # Unawaza nini? "Fikiri watu wanavyofanya," # wewe ... yako viwakilishi vya wingi # ikiwa mtu ...wasiopotea Yesu anatumia mfano kuwafundisha wanafunzi # kondoo mia moja ...tisini n a tisa 100 ...99 # hatawaacha ...aliyepotea Yesu anatumia swali kuwafundisha wanafunzi # kweli nawaambia nawaambia ukweli # Siyo matakwa ya baba yenu wa mbinguni kuwa moja wa wadogo hao apotee "Baba yenu mbinguni anataka wadogo wote hao waishi"