sw_tn/mat/15/29.md

20 lines
454 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Mstari huu unatoa histora ya muujiza amba Yesu anataka kuufanya wakulisha watu elfu nne
# viwete, vipofu, bubu vilema na wengine wengi
wale wasioweza kutembea, wale wasioona, wasiongea, na wale ambao miguu yao na mkono haifanyi kazi
# waliwaweka katika miguu ya Yesu
waliwaweka katika mbele ya ya Yesu
# vilema wakifanywa wazima
vilema wakaw salama
# vilema... viwete ... vipofu
watu viwete ... watu vilema ... watu vipofu.