# Maelezo kwa ujumla Mstari huu unatoa histora ya muujiza amba Yesu anataka kuufanya wakulisha watu elfu nne # viwete, vipofu, bubu vilema na wengine wengi wale wasioweza kutembea, wale wasioona, wasiongea, na wale ambao miguu yao na mkono haifanyi kazi # waliwaweka katika miguu ya Yesu waliwaweka katika mbele ya ya Yesu # vilema wakifanywa wazima vilema wakaw salama # vilema... viwete ... vipofu watu viwete ... watu vilema ... watu vipofu.