sw_tn/mat/15/07.md

36 lines
674 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anahitimisha majibu yake kwa Mafarisayo
# Maelezo kwa ujumla
Katika mstari wa 8 na 9Yesu anamnukuu nabii Isaya kwa kuwakemea Mafarisayo na waandishi
# ni vyema kama Isaya alivyotabiri juu yenu
Isaya alisema ukweli katika unabii wake juu ayenu
# alaposema
aliposema kile ambacho Mungu alisema
# watu hawa wananiheshimu mimi kwa midomo yao
Watu hawa wanasema kweli kwangu
# kwangu
viwakilishi vya "kwang"u vinaanisha Mungu
# lakini mioyo yaoiko mbali na mimi
watu hawjajitoa kwa ukweli kwa Mungu
# wananiabudu bure
"Ibaada zao hazina maana kwangu" au "wanaigiza kuniabudu mimi"
# maagizo ya wanadanu
"shseria ambazo watu hutengeneza