sw_tn/mat/14/19.md

44 lines
532 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inahitimisha habari ya Yesu ya kuwalisha watu elfu tano
# kukaa chini
kaeni
# akachukua
akabeba mikononi mwake
# kumega mikate
kuivunja mikate
# mikate
mikate mizima
# akatazama juu
maana zaweza kuwa 1) alipokuwa akitazama juu 2) baada ya kutazama juu
# wakala wote na kushiba
walishiba hadi walipokuwa hawana njaa
# walikusanya
wanafunzi walikusanya aua waaaaatu walikusanya
# vikapu kumi na mbili
vikapu 12 vilivyojaa
# waliokula
waliokula mikate na samaki
# elfu tano
wanaume 5,000