# Sentensi unganishi Hii inahitimisha habari ya Yesu ya kuwalisha watu elfu tano # kukaa chini kaeni # akachukua akabeba mikononi mwake # kumega mikate kuivunja mikate # mikate mikate mizima # akatazama juu maana zaweza kuwa 1) alipokuwa akitazama juu 2) baada ya kutazama juu # wakala wote na kushiba walishiba hadi walipokuwa hawana njaa # walikusanya wanafunzi walikusanya aua waaaaatu walikusanya # vikapu kumi na mbili vikapu 12 vilivyojaa # waliokula waliokula mikate na samaki # elfu tano wanaume 5,000