sw_tn/mat/14/10.md

28 lines
431 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inakamilisha habari ya Herode alivyomuua Yohana mbatizaji
# kichwa chake kikaletwa juu ya sinia na akapewa binti
mtu mmoja akaleta kichwa chake kwenye sinia akpeewa yule binti
# sinia
sahani kubwa sana
# binti
binti ambaye hajaolewa
# wanafunzi wake
wanafunzi wa Yohana
# mwili
maiti
# walienda kumwambia Yesu
wanafunzi wa Yohana walienda kumwambia Yesu kile kilichotokea kwa Yohana mbatizaji