# Sentensi unganishi Hii inakamilisha habari ya Herode alivyomuua Yohana mbatizaji # kichwa chake kikaletwa juu ya sinia na akapewa binti mtu mmoja akaleta kichwa chake kwenye sinia akpeewa yule binti # sinia sahani kubwa sana # binti binti ambaye hajaolewa # wanafunzi wake wanafunzi wa Yohana # mwili maiti # walienda kumwambia Yesu wanafunzi wa Yohana walienda kumwambia Yesu kile kilichotokea kwa Yohana mbatizaji