sw_tn/mat/13/49.md

28 lines
397 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaeleza mfano wa mvuvi aliyetumia wavu mkubwa kukamata samaki
# mwisho wa dunia
"mwisho wa nyakati"
# watakuja
"kuja" au "kwenda" au "kuja toka mbinguni"
# watu waovu kutoka miongoni mwa wenye haki
watu waovu kutoka miongoni mwa wenye haki"
# na kuwatupa
"malaika watawatupa watu waovu"
# tanuru ya moto
tazama 13:40
# maombolezo na kusaga meno
Tazama 8:11