# Sentensi unganishi Yesu anaeleza mfano wa mvuvi aliyetumia wavu mkubwa kukamata samaki # mwisho wa dunia "mwisho wa nyakati" # watakuja "kuja" au "kwenda" au "kuja toka mbinguni" # watu waovu kutoka miongoni mwa wenye haki watu waovu kutoka miongoni mwa wenye haki" # na kuwatupa "malaika watawatupa watu waovu" # tanuru ya moto tazama 13:40 # maombolezo na kusaga meno Tazama 8:11