sw_tn/mat/13/29.md

16 lines
493 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anahitimishas mfano wa magugu yalyokua pamaoja na ngano shambani
# Mwenye shamba akasema
"Mwenye shamba akasema kwa watumishi"
# nitasema kwa wavunaji, 'kwanza yang'oeni magugu na yafungeni matita matita na kuyachoma, lakini kusanyeni ngano katika ghala langu,"
"Nitawaambia wavunaji kwanza kuyakusanya magugu na kuyafunga matita matita na kuyachoma, kisha kusanyeni ngano katika ghala langu"
# ghala
Jengo la shambani ambalo lilitumika kwa kukusanyia nafaka.