sw_tn/mat/13/16.md

32 lines
820 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anamaliza kuongea na wanafyunzi wake kwa nini anaongea nao kwa mifano
# Bali macho yenu yameberikiwa kwa kuwa yanaona, na masikio yenu, kwa kuwa yanasikia
Sentensi zote zina maanisha kitu kilekile. Yesu anasisitiza kuwa wamempendeza kwa sababu wameamini kile ambacho Yesu amesema na wamefanya.
# Bali macho yenuyamebarikiwa kwa kuwa yanaona
macho yanamaanisha nafsi kamili. mmebarikiwa kwa sababu machoyenu yanaweza kuona
# Yenu .. wewe
viwakilishi hivi ni vya wingi
# na masikio yenu, kwa vile yanaona
masikio yanmaanisha nafsi kamili
# hakika nawambia
"nawambia ukweli" hii inaongeza msisitizo kwa kile anlichosema Yesu baadaye.
# mamabo mnayoyaona
Unaweza kuyaweka wazi yale waliyoyaona "Yle mambo uliyoyaona mimi nikfanya
# mambo uliyoyasikia
mambo uliyosikia mimi nikisema