forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
602 B
Markdown
20 lines
602 B
Markdown
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Kufika kwa Mama wa Yesu na ndugu zake inakuwa fursa Kwa Yesu kueleza juu ya familia yake ya kiroho
|
|
|
|
# tazama
|
|
|
|
neno "tazama" lintatuandaakwa ajili ya watu wapya katika simulizi. Lugha yako yaweza kuwa na namna mpya ya kueleza hili
|
|
|
|
# mama yake
|
|
|
|
Huyu ni Mariamu, Mam wa Yesu wa mwili.
|
|
|
|
# wakitafuta kuongea
|
|
|
|
"wakitaka kuongea"
|
|
|
|
# mtu mmoja akamwambia, "tazama mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanatafuta kuongea nawe",
|
|
|
|
Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "mtu mmoja alaimwambia Yesu kuwa mama yake na ndugu zake walikuwa nje na walitaka kuongea naye"
|