# Maelezo kwa ujumla Kufika kwa Mama wa Yesu na ndugu zake inakuwa fursa Kwa Yesu kueleza juu ya familia yake ya kiroho # tazama neno "tazama" lintatuandaakwa ajili ya watu wapya katika simulizi. Lugha yako yaweza kuwa na namna mpya ya kueleza hili # mama yake Huyu ni Mariamu, Mam wa Yesu wa mwili. # wakitafuta kuongea "wakitaka kuongea" # mtu mmoja akamwambia, "tazama mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanatafuta kuongea nawe", Hii inaweza kutafsiriwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. "mtu mmoja alaimwambia Yesu kuwa mama yake na ndugu zake walikuwa nje na walitaka kuongea naye"