sw_tn/mat/09/25.md

20 lines
551 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inahitimisha simulizi la Yesu la kumfufua binti wa afisa wa Kiyahudi
# Maelezo kwa ujumla
Mstari wa 26 unatoa muhtasari unaofafanua matokeo ya Yesu kumfufua huyu msichana.
# Na wale watu walipotolewa nje
"Baada ya yesu kuwatoa watu nje" au "Baada ya familia kuwatoa watu nje"
# akaamka
"akaamka kutoka kitandani" Hii ni maana ile ile kama iliyo kwenye 8:14
# Habari hii ikaenea mji mzima
Watu wote wa mji ule walisikia kuhusu hilo" au "Watu walioona binti akiwa hai walianza kuwaambia watu wa eneo hilo habari hizi."