sw_tn/mat/08/30.md

32 lines
629 B
Markdown

# sasa
hili neno linaonyesha kwamba mwandishi atawaambia wasomaji habari anazotaka kufahamu kabla ya hadithi kuendelea. Nguruwe walikuwa kule kabla ya Yesu kufika.
# Ikiwa utatuamuru tutoke
"kwa sababuunakwenda kututoa sisi nje"
# sisi
Hii ni pamoja ,ina maanisha nguruwe pekee"
# wao
mapepo ndani ya mtu
# Mapepo wakawatoka na kwenda kwa nguruwe
"Mapepo wakamwacha mtu na kuwaingia nguruwe"
# ndipo
Neno "ndipo" hapa linatoa angalizo kwetu kuwa tayari kwa taarifa za kushangaza zinazokuja.
# likashuka chini kutokea mlimani
"kimbia haraka chini kwenye mteremko"
# likafia majini
"waliingia kwenye maji na kuzama"