# sasa hili neno linaonyesha kwamba mwandishi atawaambia wasomaji habari anazotaka kufahamu kabla ya hadithi kuendelea. Nguruwe walikuwa kule kabla ya Yesu kufika. # Ikiwa utatuamuru tutoke "kwa sababuunakwenda kututoa sisi nje" # sisi Hii ni pamoja ,ina maanisha nguruwe pekee" # wao mapepo ndani ya mtu # Mapepo wakawatoka na kwenda kwa nguruwe "Mapepo wakamwacha mtu na kuwaingia nguruwe" # ndipo Neno "ndipo" hapa linatoa angalizo kwetu kuwa tayari kwa taarifa za kushangaza zinazokuja. # likashuka chini kutokea mlimani "kimbia haraka chini kwenye mteremko" # likafia majini "waliingia kwenye maji na kuzama"