forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.1 KiB
Markdown
36 lines
1.1 KiB
Markdown
# Maelezo kwa ujumla
|
|
|
|
Huu ni mwanzo wa sehemu mpaya ya simulizi ambalo limebeba simulizi nyingi za uponya wa watu. Wazo hili linaendelea hadi hadi 9:35.
|
|
|
|
# Wakati Yesu alipokuja kushuka chini kutoka mlimani, umati mkubwa ulimfuata.
|
|
|
|
"Baada ya Yesu kuja kushuka chini kutoka mlimani, umati mkubwa ulimfuata," Umati yawezekana ulijumuisha watu waliokuwa nae juu mlimani na watu ambao hawakuwahi kuwa nae.
|
|
|
|
# Tazama
|
|
|
|
Neno "tazama" inatupa dokezo sisi la mtu mwingine katika hadithi. Lugha inaweza kuwa namna ya kufanya hivyo.
|
|
|
|
# mkoma
|
|
|
|
"mtu ambaye ana ukoma" au "mtu ambaye ana ugonjwa wa ngozi"
|
|
|
|
# kusujudu mbele yake
|
|
|
|
Hii ni ishara ya unyenyekevu heshima mbele ya Yesu.
|
|
|
|
# Ikiwa unataka
|
|
|
|
"ikiwa unataka kufanya" au "ikiwa unahitaji" mwenye ukoma alijua yesu ana nguvu za kumponya, lakini hakujua endapo Yesu alitaka kumgusa yeye.
|
|
|
|
# wewe unaweza kunisafisha
|
|
|
|
Hapa "kusafisha" maana yake kuponywa na ili kuweza kuishi kwenye jamii tena."
|
|
|
|
# mara moja
|
|
|
|
"sasa hivi"
|
|
|
|
# naye akasafishwa ukoma wake
|
|
|
|
Matokeo ya Yesu kusema"Uwe mzima" ilikuwa kwamba mtu huyo akaponywa.Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai.AT:"yeye alikuwa mzima" au "ukoma ulimwacha" au "ukoma ulikoma"
|