sw_tn/mat/06/19.md

32 lines
729 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kufundisha juu ya fedha na mali
# Maelezo kwa ujumla
Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafsi. viwakilishi vya "usi" na "yako" viko katika wingi isipokuwa vile vya mstari wa 21, amabvyo viko katika umoja.
# akiba
"utajiri"
# ambapo nondo na kutu wanakula
"ambapo nondo na kutu wanashambulia akiba"
# nondo
mdudu mdogo, anayeruka na kuharibu nguo
# kutu
ni vitu vya rangi ya kahawia vinavyopatikana kwenye chuma
# weka akiba yako mbinguni
Huu ni msemo ambao unamaanisha kwamba fanya mambo mazuri hapa duniani ili Mungu akubariki mbinguni.
# na moyo wako utakapokuwepo pia.
Hapa "moyo" maana yake ni mawazo ya mtu na mapenzi yake.