forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
1.4 KiB
Markdown
36 lines
1.4 KiB
Markdown
# Na kama ... lako
|
|
|
|
Yesu anaongea na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye kwa mtu binafsi Matukio yote ya viwakilishi vya "ku" na "lako" viko katika umoja, lakini unaweza kuvitafsiri katika wingi.
|
|
|
|
# kama jicho lako la kulia linakusababisha kujikwaa
|
|
|
|
Hapa "jicho" linamaanisha kile ambacho mtu hukiona. Na "kujikwaa". Ni sitiari ya "dhambi." "Kama kile ukionacho hukusababisha kujikwaa" au "kama unataka kufanya dhambi kwa sababu ya kile ukionacho"
|
|
|
|
# jicho lako la kulia ... mkono wako wa kuume
|
|
|
|
Hii inamaanisha jicho au mkono ule wa muhimu zaidi, dhidi ya mkono au jicho la kushoto. Hapa unaweza kutafsri "kulia" kuwa "ndiyo nzuri zaidi" au "kulia pekee."
|
|
|
|
# ling'oe
|
|
|
|
"litoe kwa nguvu" au "liharibu" kama jicho lako la kulia halijatajwa rasmi, unaweza kuitafsiri hii kama " kuharibu macho yako." kama macho yametajwa, unaweza kuyatafsiri kama "yaharibu"
|
|
|
|
# ling'oe ... likate
|
|
|
|
Yesu analikuza zaidi jambo hili juu ya jinsi ambavyo mtu anapaswa kuiona jinsi dhambi ilivyo mbaya kulichukulia kwa umakini swala hili.
|
|
|
|
# uutuplie mbali na wewe
|
|
|
|
"achana nao"
|
|
|
|
# kiungo kimoja katika mwili wako kiharibike
|
|
|
|
"upoteze sehemu ya mwili wako"
|
|
|
|
# kuliko mwili mzima kutupwa jehanamu
|
|
|
|
Hili linaweza kuelezeka katika muundo tendaji. "kuliko Mungu kuutupa mwili wako wote jehanamu"
|
|
|
|
# kama mkono wako wa kuume unakusababisha
|
|
|
|
katika hii lugha ya umbo, mkono unasimama badala ya matendo la mwili wote
|