sw_tn/mat/05/25.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown

# Patana na... wako
Yesu anaongea na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea katika hali ya mtu mmoja. Matukioyote ya viwakilishi vya "uki" na "wako" viko katika umoja, lakini lugha yako inaweza kukutaka uvitafsiri katika wingi.
# mshitaki wako
Huyu ni mtu anayemtuhumu mtu kwa kufanya jambo fulani ambalo ni ovu. Anampeleka mtuhumiwa mahakamani ili kumshitaki kwa hakimu.
# kukuacha mikononi mwa hakimu
Hapa neno "kukuacha mikononi mwa" inamaanisha kukukabidhi katika udhibiti wa mtu mwingine. "kumwachia hakimu ashughulike na wewe".
# hakimu akuache mikononi mwa askari
Hapa neno "kukuacha mikononi mwa" inamaanisha kukukabidhi katika udhibiti wa mtu mwingine. "hakimu atamkabidhi kwa askari"
# askari
ni mtu mwenye mamlaka ya kufanya maamuzi ya hakimu.
# nawe utatupwa gerezani
Hili linaelezeka katika hali ya muundo tendaji. "na askari anaweza kukutupa gerezani"
# amini nawambieni
"Nawaambieni ukweli." Hiki kirai kinaongeza msisitizo kwa kile ambacho Yesu alisema baadaye.
# hutawekwa huru
"kutoka gerezani"