sw_tn/mat/05/17.md

28 lines
964 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaanza kwa kufundisha jinsi alivyokuja kuitimiliza sheria ya agano la kale
# manabii
Hii inamaanisha kile walichoandika manabii katika maandiko.
# kweli nawaambieni
"Nawaambia ukweli" Kirai hiki kinaongeza nguvu juu ya kile Yesu atakachosema baadaye.
# mpaka mbingu na dunia zote zipite
Hapa "mbingu" na "dunia" humaanisha ulimwengu wote. "Kama vile mbingu zidumuvyo"
# hapana yodi moja wala nukta moja
"hapana hata ile herufi ndogo iliyoandikwa au sehemu ndogo ya herufi. Hii ni sitiari inayomaanisha kitu fulani katika maandiko kinachoweza kuonekana kuwa si cha muhimu. "wala sheria zinazoonekana kuwa si za muhimu
# kila kitu kitakapokuwa kimetimizwa
Hiki kinaweza kuelezwa kwa kutumia mfumo tendaji. "Mambo yote yametokea" au "Mungu huyafanya mambo yote yatimie".
# kila kitu
Kirai cha "kila kitu" kinamaanisha kila kitu kilicho kwenye sheria. "kila kitu kilicho kwenye sheria" au " kila kilichoandikwa kwenye sheria".