sw_tn/mat/02/19.md

16 lines
462 B
Markdown

# Maelezo yanayounganisha:
Hapa mandhari ya hamia kwenda Misri, mahali Ysufu, Mariamu, na mtoto Yesu wanaishi.
# tazama
Hii inaweka alama ya mwanzo wa tukio jingine katika habari ndefu. inaweza kuhusisha watu wengi kuliko matukio yaliyotangulia. Lugha yako inaweza kuwa namna ya kufanya hivi.
# wale ambao walitafuta uhai wa mtoto
"wale ambao walikuwa wanamtafuta mtoto ili wamwue"
# wale ambao walitafuta
Hii ina maanisha mfalme Herode na washauri wake.