# Maelezo yanayounganisha: Hapa mandhari ya hamia kwenda Misri, mahali Ysufu, Mariamu, na mtoto Yesu wanaishi. # tazama Hii inaweka alama ya mwanzo wa tukio jingine katika habari ndefu. inaweza kuhusisha watu wengi kuliko matukio yaliyotangulia. Lugha yako inaweza kuwa namna ya kufanya hivi. # wale ambao walitafuta uhai wa mtoto "wale ambao walikuwa wanamtafuta mtoto ili wamwue" # wale ambao walitafuta Hii ina maanisha mfalme Herode na washauri wake.