sw_tn/mat/02/09.md

20 lines
325 B
Markdown

# baada ya
"baada ya mamajusi"
# walikuwa wamekwisha iona mashariki
"walikuwa wamekwisha iona ikija kutoka mashariki" au "walikuwa wamekwisha iona katika nchi yao."
# ikawatangulia
"iliwaonesha njia" au "iliwaongoza"
# ilitulia juu ya
"ilisimama juu"
# mahali alipokuwa mtoto
"mahali ambapo mtoto mchanga alikuwapo"