# baada ya "baada ya mamajusi" # walikuwa wamekwisha iona mashariki "walikuwa wamekwisha iona ikija kutoka mashariki" au "walikuwa wamekwisha iona katika nchi yao." # ikawatangulia "iliwaonesha njia" au "iliwaongoza" # ilitulia juu ya "ilisimama juu" # mahali alipokuwa mtoto "mahali ambapo mtoto mchanga alikuwapo"