sw_tn/mat/02/04.md

24 lines
943 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla:
Ktoka mstari wa 6, makuhani wakuu na waandishi wa watu wanamnukuu nabii Mika kuonesha kwamba Kristo angezaliwa Bethlehemu.
# Katika Bethlehemu ya Yuda
"Katika mji wa Behlehemu katika jimbo la Yuda"
# hili ndilo lililoandikwa na nabii
Hili linaweza kuelezwa kwa namna iliyo tendaji. hiki ndicho likchoandikwa na nabii zamani.
# Na wewe, Bethlehemu...Israeli
Wanamnukuu nabii Mika.
# wewe, Bethlehemu...hu mdogo miongoni mwa viongozi wa Yuda
MIka alikuwa akizungumza na watu wa Bethlehemu kana kwamba walikuwa pamoja naye, lakini hawakuwa naye. Pia "hu mdogo" linaweza kutafsiriwa na kirai chanya. "ninyi watu wa Bethlehemu,...mji wenu ni miongoni mwa miji iliyo muhimu zaidi kuliko yote katika Yuda.
# ambaye atawachunga watu wangu Israeli
Mika anamzungumza mtawala huyu mchungaji. Hii inamaanisha ata waongoza na kuwahudumia watu. "ambaye atawaongoza watu wangu Israeli kama mchungaji aongozavyo kondoo wake."