sw_tn/mal/01/10.md

28 lines
561 B
Markdown

# Oh, kama pekee
Hii inaelezea hisia kubwa.
# ili kwamba msiwe mnawasha moto juu ya madhabahu yangu bure
"ili kwamba msitengeneze moto kuteketeza sadaka na dhambi kwa kutoa sadaka zisizo na maana"
# Kutoka mikononi mwenu
"Kutoka kwenu"
# jina langu
"mimi"
# Kutoa mawio ya jua mpaka machweo yake
"Kila mahali," Sambamba na"Katika mataifa" na "kila sehemu"
# Jina langu ni kuu katika mataifa
"Nitaheshimika katika mataifa yote"
# kila sehemu uvumba utafukizwa kwa jina langu
"katika mataifa haya watu watafukiza uvumba kwa ajili yangu katika ibada"