# Oh, kama pekee Hii inaelezea hisia kubwa. # ili kwamba msiwe mnawasha moto juu ya madhabahu yangu bure "ili kwamba msitengeneze moto kuteketeza sadaka na dhambi kwa kutoa sadaka zisizo na maana" # Kutoka mikononi mwenu "Kutoka kwenu" # jina langu "mimi" # Kutoa mawio ya jua mpaka machweo yake "Kila mahali," Sambamba na"Katika mataifa" na "kila sehemu" # Jina langu ni kuu katika mataifa "Nitaheshimika katika mataifa yote" # kila sehemu uvumba utafukizwa kwa jina langu "katika mataifa haya watu watafukiza uvumba kwa ajili yangu katika ibada"