sw_tn/mal/01/04.md

20 lines
315 B
Markdown

# Kama Edom akisema
'Kama watu wa Edomu wakisema."
# lakini nitawaangusha chini
"Nitaiangamiza"
# na wanaume watawaita
"na wanaume wa taifa lingine watawaita"
# nchi ya uovu
"nchi ya watu waovu
# Macho yako yataona hiki
"Utaona hiki kikitokea'; hii ni kuwa, hawatahitaji mtu yeyote kuwaambia kilichotokea.