sw_tn/luk/24/48.md

639 B

Ninyi ni mashahidi

"Mnatakiwa kuwaambia wengine kwamba mliyoyaona kuhusu mimi ni kweli." Wanafunzi walikuwa wameyaona maisha ya Yesu, kufa kwake, kufufuka kwake, na waliweza kueleza kwa wengine kitu gani alifanya.

Nawapelekea ahadi ya Baba yangu juu yenu

"Nitawapa kile ambacho Baba yangu aliahidi kuwapa." Yesu, Mungu Mwana, atatoa kile Mungu Baba alikiahidi kwa wafuasi wake wote, ambacho ni Mungu Roho Mtakatifu.

Baba

Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu

mtakapovishwa nguvu

Nguvu ya Mungu itawafunika kwa namna ileile nguo inavyomfunika mtu. Tafsiri mbadala: "mnapokea nguvu."

kutoka juu

"kutoka juu" au "kutoka kwa Mungu"